Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

 Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mh. Bernad Nduta akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mh. Sauda S. Mtondoo katika eneo la Mkarakate tarehe 06/05/2015  Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kata ya Sindano tarehe 03/05/2015  Bw. Anthony Mhando akipokea zawadi ya ufanyakazi bora siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01/05/2015 iliyoadhimishwa Kimkoa katika Wilaya ya Tandahimba  Jengo la Maabara katika Shule ya Sekondari ya Namwanga

Karibu Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

Karibu kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, katika tovuti hii utapata fursa ya kujua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa katika Halmashauri. Pia unaweza kupata taarifa za matukio mbalimbali yanayotokea katika Halmashauri yetu.

Takwimu

  • hospitari

    = 1
  • Vituo vya Afya

    = 3
  • Zahanati

    = 37
  • Shule za Sekondari

    = 27
  • Shule za Msingi

    = 124
  • Idadi ya watu

    = 275,130

Habari & Matukio

02 Jun 2015

Halmashauri ya wilaya ya masasi itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza kufeli kwa masomo ya sayansi katika shule za sekondari baada ya kupata walimu 45 kati ya 74 waliopangwa ni wa masomo ya sayans...

20 May 2015

Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara kwa pamoja limepitisha bajeti ya zaidi ya Shilingi Bilioni 18 zitakazokusanywa na kuelekezwa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...

Huduma kwa Jamii