Halmashauri ya Wilaya ya Masasi
Utoaji wa huduma kwa simu za mkononi utarahisisha upatikanaji wa huduma hizo kwa kuokoa fedha na muda. Hivyo, Wakala inaandaa utaratibu wa kuwezesha taasisi za za umma kutoa huduma kwa kutumia simu za mkononi ili ziweze kutatua matatizo ya wananchi kwa haraka na kwa ufanisi.
Juhudi hiyo ni fursa kubwa ya kuongeza uwezo wa huduma za simu za mkononi kuwafikishia huduma wananchi wengi na jamii kwa jumla.Utoaji wa huduma kwa simu za mkononi utarahisisha upatikanaji wa huduma hizo kwa kuokoa fedha na muda. Hivyo, Wakala inaandaa utaratibu wa kuwezesha taasisi za za umma kutoa huduma kwa kutumia simu za mkononi ili ziweze kutatua matatizo ya wananchi kwa haraka na kwa ufanisi.
Juhudi hiyo ni fursa kubwa ya kuongeza uwezo wa huduma za simu za mkononi kuwafikishia huduma wananchi wengi na jamii kwa jumla.