Halmashauri ya Wilaya ya Masasi
Typically, below the Director there are a number of Heads of Department and sections.
DEPARTMENTS
1. Utumishi na Utawala;
idara hii ina shughulikia masuala ya watumishi ikiwemo, kutoa miongozo na taratibu kwa watumishi, kushughulikia matatizo na haki za watumishi ka upatikanaji wa mishahara, mazingira bora ya utendaji kazi
2. Mipango takwimu na ufuatiliaji
idara hii inashughulikia masuala mazima ya kupanga mipango ya Halmashauri , kuaandaa bajeti kusimamia miradi inayotekelezwa katika Halmashauri
3. Usafi na mazingira
Idara hii inahusika na kuhakikisha mazingira yanakuwa salama hususani maeneo ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi, uchimbaji madini na shughuli zingine ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuadhili mazingira wakati wa utekelezaji.
4. Fedha na Biashara
Idara hii inahusika na ukusanyaji wa mapato ya halmashuri kutoka vyanzo mbalimbali na kusimamia matumizi ya fedha kwa kufuata taratibu za matumizi ya fedha
5. Ujenzi
Idara inahuska na usimamizi wa Miradi yote ya ujenzi inayotekelezwa na halmashauri ikiwemo barabara, majengo, madaraja. Pia idara hii inashughulikia masla ya mitamboa na umeme;
7. Idara ya elimu msingi na utamaduni,
Idara hii inahusika na usimamizi wa masuala ya elimu ya msingi na masuala yotea ya utamaduni.
8. Afya
idara hii inashughuikia masuala yote ya usimamizi wa huduma za afya kwa kuhakikisha vituo vyote vya afya vinatoa huduma ya afya kwa wananchi katika hali ya ubora, kusimamia upatikanaji wa dawa na usambazaji.
9. Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
Idara hii inashughulikia masuala a kilimo kwa kutoa elimu ya kilimo bora, kusimamia vyama vya
10 Idara ya maendeleo ya jamii
Hii inashughulikia na usimamizi wa masuala ya jamii katika nyanja mbalimbali kama masuala ya ndoa, watoto, wananwake, kuttoa elimu ya ujasiliamali kwa vikundi na kusimamamia masuala ya UKIMWI
11. Idara ya Ardhi na maliasili
12. Maji
13 Mifugo na uvuvi